Copertina del podcast

Mimi Na Wewe English Means "Me And You"

  • Esplicito

    Me And You

    26 DIC 2019 · Mwisho wa Mwaka 2019 ndio huu, ikiwa Leo ni alhamisi ya mwisho kabisa kwa Mwaka huu wa 2019 umeweza kufanikisha malengo uliyojiwekea kwa Mwaka huu? Je Changamoto ulizopitia zimekujenga ama kukuharibu na kukutoa kwenye mstari sahihi wa maisha?
    Ascoltato 15 min.
  • Esplicito

    Kabla Ama Baada Ya Chuo

    20 SET 2019 · In studio today we have a guest friend of mine his name is Hamis Riziwan, visit us and discus about " before or after university? " What do you think university students to employ themselves when they are still in university or wait till they finish their study? So Hamis express his thought that it depend with a person what is in his mind because everyone know his capability of doing things Some will not and not be able to mix the study and business in university or college and some its not a problem to them Baada ya kuongea na Hamis yeye kwa mtazamo wake anaona ni vyema mtu kujichanganya na mambo mengi mengi kabla ya kumaliza chuo maana kuna wengi wamemaliza chuo na wapo mtaani hawana ajira hivyo ni vyema kujichanganya nao kwani maisha hayaja nyooka hivyo ni bora kujichanganya kabla ya kumaliza chuo ila kama mtu hawezi ni bora akamaliza chuo ndio akaingia kwenye biashara sababu kwenye biashara kuna mambo mengi: 1. Kukosa mtaji 2. Kuibiwa 3. Bidhaa kuungua moto 4. Mtaji kuishia njiani 5. Bidhaa kutokukubalika kwa watu kama ulivyotegemea Kujiajiri ni njia nzuri lakini pia ni njia Ngumu, biashara kufa, kuibiwa, kuzidiwa ushindani, changamoto ya mtaji, kua na idea zisizo fanya kazi, kuzidiwa na mkopo, wingi wa bidhaa sokoni....kama tunajiandaa kujiajiri tujiande kikamanda Kwa hivyo namna moja ama nyingine ni lazima kuwa makini endapo unapohitaji kujiajiri ukiwa chuo maana hakuna chepesi ndio maana unahitajika kujichanganya na walio kuwepo ambao walisha maliza na kuujua mtaa zaidi
    Ascoltato 14 min. 59 sec.
  • Esplicito

    Mvutano Baina Ya Yericko Nyerere Na Kigogo2014

    20 SET 2019 · Pamekuwa na mvutano katika mtandao wa Twitter baada ya kigogo2014 kusema kwamba mheshimiwa Mbowe amefanya ifisadi kwenye ruzuku za chama cha chadema Pia akatokea yericko kutaka kuona hizo document zinazoonesha ufisadi wa mheshimiwa mbowe Ikaenda mbali zaidi yericko kasema kigogo2014 anambwela maana toka mabadiliko yatokee mwandiko wake wa tweet ni kama wa vijana wa ACT- Wazalendo na kudai amesha mjua kigogo ni nani hivyo bado malumbano yanaendelea kwa kuwa hakuna anayemjua real kigogo ni nani Watu wengi wameshangwa na kwa nini kutangaza mgombea wa chama cha chadema bila kufuata taratibu maana mda wa kumtambulisha mgombea bado
    Ascoltato 4 min. 42 sec.
  • Esplicito

    Episode 1 Iran Vs Saudi arabia

    20 SET 2019 · Hivi karibuni Saudi Arabia ililipuliwa kituo chake cha kuhifadhia mafuta na silaha iliyotumika inasemekana inatoka Iran. Kwenye mlipuko hui umesababisha hasara na mataifa kama ya marekani kuonesha hasira za wazi wazi kwa Irani Leo father Monduli amejaribu kuliongeleo hill suala na hasara gani Saudi Arabia imeisababishia Yemen kwa kipindi cha miaka 4. Lakini pia nini ambacho Iran yenyewe imesema kwa kukanusha kuhusika na shambulio hilo
    Ascoltato 6 min. 46 sec.
Me and you, in Swahili means "Mimi na wewe" tunaangazia mambo mbalimbali ambayo Mimi na wewe tunayapitia katika safari yetu ya maisha ya kila siku.
Contatti
Informazioni

Sembra che non tu non abbia alcun episodio attivo

Sfoglia il catalogo di Spreaker per scoprire nuovi contenuti

Corrente

Copertina del podcast

Sembra che non ci sia nessun episodio nella tua coda

Sfoglia il catalogo di Spreaker per scoprire nuovi contenuti

Successivo

Copertina dell'episodio Copertina dell'episodio

Che silenzio che c’è...

È tempo di scoprire nuovi episodi!

Scopri
La tua Libreria
Cerca