Esplicito

Kabla Ama Baada Ya Chuo

20 set 2019 · 14 min. 59 sec.
Kabla Ama Baada Ya Chuo
Descrizione

In studio today we have a guest friend of mine his name is Hamis Riziwan, visit us and discus about " before or after university? " What do you think...

mostra di più
In studio today we have a guest friend of mine his name is Hamis Riziwan, visit us and discus about " before or after university? "

What do you think university students to employ themselves when they are still in university or wait till they finish their study?

So Hamis express his thought that it depend with a person what is in his mind because everyone know his capability of doing things
Some will not and not be able to mix the study and business in university or college and some its not a problem to them


Baada ya kuongea na Hamis yeye kwa mtazamo wake anaona ni vyema mtu kujichanganya na mambo mengi mengi kabla ya kumaliza chuo maana kuna wengi wamemaliza chuo na wapo mtaani hawana ajira hivyo ni vyema kujichanganya nao kwani maisha hayaja nyooka hivyo ni bora kujichanganya kabla ya kumaliza chuo ila kama mtu hawezi ni bora akamaliza chuo ndio akaingia kwenye biashara sababu kwenye biashara kuna mambo mengi:
1. Kukosa mtaji
2. Kuibiwa
3. Bidhaa kuungua moto
4. Mtaji kuishia njiani
5. Bidhaa kutokukubalika kwa watu kama ulivyotegemea


Kujiajiri ni njia nzuri lakini pia ni njia Ngumu, biashara kufa, kuibiwa, kuzidiwa ushindani, changamoto ya mtaji, kua na idea zisizo fanya kazi, kuzidiwa na mkopo, wingi wa bidhaa sokoni....kama tunajiandaa kujiajiri tujiande kikamanda

Kwa hivyo namna moja ama nyingine ni lazima kuwa makini endapo unapohitaji kujiajiri ukiwa chuo maana hakuna chepesi ndio maana unahitajika kujichanganya na walio kuwepo ambao walisha maliza na kuujua mtaa zaidi
mostra meno
Informazioni
Autore Father Monduli
Sito -
Tag
-

Sembra che non tu non abbia alcun episodio attivo

Sfoglia il catalogo di Spreaker per scoprire nuovi contenuti

Corrente

Copertina del podcast

Sembra che non ci sia nessun episodio nella tua coda

Sfoglia il catalogo di Spreaker per scoprire nuovi contenuti

Successivo

Copertina dell'episodio Copertina dell'episodio

Che silenzio che c’è...

È tempo di scoprire nuovi episodi!

Scopri
La tua Libreria
Cerca