Contatti
Info
radio and television presenting is my passion❤️🔐
Episodi & Post
Episodi
Post
Esplicito
17 GIU 2020 · Leo STREETLINE ilikua chuo kikuu cha Dar es salaam imeongea na wanafunzi ambao wameanzisha Charity yao inayohusu kusapoti sanaa kwa watoto katika kituo cha MWANDALIWA kilichopo BUNJU DAR ES SALAAM...SANAA CHARITY hii itafanyika tarehe 20/6/2020...
Esplicito
12 MAG 2020 · ZADDY wa STREETLINE leo alikua mtaa wa BUZURUGA MWANZA ambapo alifanya mahojiano na kijana DJ RAX kuhusu TOPIC ya kumuazimisha mtu kitu halafu anarudisha kimeharibika...pia hata wewe unaweza kuandika COMMENT yako hapo chini kama ilishakutokea SITUATION kama hii..
radio and television presenting is my passion❤️🔐
Informazioni
| Autore | Zaddy .E. Shillinde |
| Organizzazione | Zaddy .E. Shillinde |
| Categorie | Cultura e società |
| Sito | - |
| shilindeemmanuel1996@gmail.com |
Copyright 2026 - Spreaker Inc. an iHeartMedia Company