Copertina del podcast

Mimi Na Wewe

  • mambo jambo mwanzo mpya

    1 DIC 2022 · leo tunaangazia ujio wetu mpya wa podcast yetu pendwa. na hivyo tutakuwa tunaitwa 'Mambo jambo The mathematics' tunashukuru kwa support na msiache kuendelea kutusupport. --- Send in a voice message: https://anchor.fm/ayubu-chewale/message
    Ascoltato 1 min. 47 sec.
  • Upendo

    6 SET 2020 · Upendo una maana gani? Je upendo ni kuwa kipofu? Hayo yote unayapata katika epsod hii mpya na nimeweza kuchambua kwa undani maana ya neno upendo na upendo wenyewe. --- Send in a voice message: https://anchor.fm/ayubu-chewale/message
    Ascoltato 11 min. 2 sec.
  • Michezo

    15 AGO 2020 · Mpira wa jana uliishangaza dunia baada ya barca kufungwa goli 8 ndani ya dakika 90, wakati wao wakifunga goli 2 tu. Kitendo hicho kimetafsiriwa kama ni udhalilisha mkubwa sana kwa timu kubwa ya barca. Walichofanyiwa katika mchezo wa jana hakikuwa kitu kizuri katika historia ya mpira duniani. --- Send in a voice message: https://anchor.fm/ayubu-chewale/message
    Ascoltato 10 min. 17 sec.
  • Watu wanaopenda kujidai wanawajua watu wengine zaidi ya yao vile wanavyojijua

    15 AGO 2020 · Kuna watu wao wamekaaga kujidai kuwa wao wanawajua watu fulani zaidi hata ya wale watu wanavyojijua wao wenyewe, ni tabia mbaya na inayokosa nidhamu kwa watu wengine ungana nami tukiwaongelea watu hao --- Send in a voice message: https://anchor.fm/ayubu-chewale/message
    Ascoltato 5 min. 38 sec.
  • Namna ya kukuza/ongeza thamani yako

    30 DIC 2019 · Ni namna gani unaweza kuikuza thamani yako, haijalishi ni wapi ulipo, unafanya kitu gani, ni binadamu wa jinsia gani. Hapo ulipo unaweza ikuza/ongeza thamnai ya hicho unachofanya na kukuletea mrejesho chanya. Ungana na mimi kusikiliza ni namna gani ya kuiongeza thamani yako
    Ascoltato 16 min. 28 sec.
  • 2020 nini matarajio yetu?

    28 DIC 2019 · Ikiwa tumemaliza uchaguzi wa serikali za mitaa na kutazamia kwenda kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2020, je kuna mabadiliko tunayoweza kuyarajia? Tume huru ya uchaguzi yaweza kupatikana?
    Ascoltato 4 min. 24 sec.
  • Uhuru kwako wewe una maana gani?

    9 DIC 2019 · Leo ni miaka 58 ya uhuru wa Tanzania bara (Tanganyika) ambapo tunaangalia uhuru wa mambo 4 kwa wajasiriamali, kwao wao uhuru ni kitu gani, ungana nami kusikiliza nilichokiandaa leo
    Ascoltato 12 min. 51 sec.
  • Umuhimu wa fedha katika biashara yako

    8 DIC 2019 · Fedha ndiyo mfalme katika biashara yako. Bila fedha huwezi kusonga na kufika mbali. Ungana nami leo ninapo ongelea maeneo saba (7) yanayosababisha maumivu katika biashara na namna ya kukabiliana nayo na kuyazuia
    Ascoltato 10 min. 25 sec.

Mimi na wewe is a Swahili words means "Me and You" We talk about me and you in daily life, the things we face, the difficult you and me overcome.

mostra di più
Mimi na wewe is a Swahili words means "Me and You"
We talk about me and you in daily life, the things we face, the difficult you and me overcome.
mostra meno
Informazioni
Autore Father Monduli
Categorie Diari
Sito -
Email -

Sembra che non tu non abbia alcun episodio attivo

Sfoglia il catalogo di Spreaker per scoprire nuovi contenuti

Corrente

Copertina del podcast

Sembra che non ci sia nessun episodio nella tua coda

Sfoglia il catalogo di Spreaker per scoprire nuovi contenuti

Successivo

Copertina dell'episodio Copertina dell'episodio

Che silenzio che c’è...

È tempo di scoprire nuovi episodi!

Scopri
La tua Libreria
Cerca