Copertina del podcast

Kweligraphy

  • Ndoto Bila Malengo Hubaki Kuwa Ndoto . Episode 5 - Kweligraphy

    21 GEN 2019 · Sasa unatakiwa kuanza tena upya, umepoteza mchezo, umefeli mtihani, deal uliyoitegemea kutick imekuangusha, Ohh Mungu! Umeishi miaka yako yote ukiamini ipo siku utatusua na hiyo siku bado haionekani. Unaamka kila asubuhi kwenda kutafuta uweke kitu mezani familia ipate kupishana chooni lakini bado una ile ndoto, ndoto ambayo unaiota ukiwa macho, ndoto ambayo inakuwinda kila uendapo kana kwamba ni jinamizi. Kila ukijaribu kuisahau baada ya muda inakuja tena kubisha hodi. Hakuna anayekuelewa unapoihadithia kwa watu wako wa karibu....
    Ascoltato 5 min. 27 sec.
  • Be Water My Friend [Put Your Earphones On].Episode 4 - Kweligraphy

    20 GEN 2019 · Let Anger no Complaints keep you from reaching your destination. Just let your wisdom decide the rate of flow. My friend, don't freeze... Never Cease.
    Ascoltato 4 min. 59 sec.
  • Jiunge Na Familia Ya 1% Sasa. - Kweligraphy

    19 GEN 2019 · Maisha yapo tough sana kipindi nina umri mdogo wa kusoma shule ya msingi. Yapo tough pia hadi sasa lakini, nimeongezeka nguvu zaidi kuliko mwanzo na kukua kifikra na uzoefu. Nimejifunza niliyojifunza kuhusu mimi . Nakumbuka nilipokuwa shule ya chekechea hadi primary na kuendelea. Stori ndefu kuifanya iwe fupi nilikuwa kilaza sana chekechea kuliko wenzangu, nilikuwa kati ya wale vichwa vizito vya darasa, hali iliyonifanya kusoma kwa miaka mitatu chekechea. Kipindi nipo primary nilitamani sana nami niwe mmoja wa wale "cool kids" au "brighter ones" au tulikuwa tunaita "john visomo" sijui kama hilo jina bado linatumika hadi sasa. Tatizo langu kubwa lilikuwa kujua hesabu au kufanya vizuri kwenye mitihani ya hisabati. Nilitamani nami nionekane, nitambulike kila nipitapo eneo la shule kama ilivyo kwa wale wafanyao vizuri shuleni wanavyopendwa na walimu pamoja na wanafunzi wengine, kwa hiyo sababu kuu ya mimi kubadilika na kuwa mmoja wa "cool kids" shuleni ni tamaa ya kutambulika. Nilifahamu wazi kabisa kuwa kilaza si jambo ambalo watu wanalipenda ama watu watakupenda na kukutambua kwa ukilaza wako. Kilichofuata ni hadithi tu. Nilikuwa moja kati ya wanaofanya vizuri shuleni. I was famous indeed, lakini ilifanyika kazi ya ziada.! Vivyohivyo kwenye maisha nje ya shule, ili utambulike, uzawadiwe zawadi ya utambulisho ni lazima upige kazi pasipo ukawaida ili ukaribishwe kwenye chama cha asilimia tano (5%) au asilimia moja (1%) kwa maana wanaotambulika na jamii ni wale wanaojitoa kwa mchango wao wa hali ya juu kufanikisha mambo yao. Unapofanikisha jambo lako kwa kiwango cha juu ni sawa na kuitambulisha familia yako au kaya ama nchi yako kwa ujumla Jina lako litavuka mipaka pale jitihada zako zinapozaa matunda. Nakumbuka vizuri kipindi cha shule nilitoa muda wa masaa 10 hadi 15 kwa kusoma kwa siku, ajabu ya sasa kipindi baada ya shule kumaliza, muda wa kufanya kazi ambayo kwako ni ya umuhimu unaifanya kwa masaa 8 kwa siku, huu ni uozo wenye hadhi ya nyota 5. Badilisha mwenendo wako wa maisha, inawezekana ulikuwa superstar shule, umekuwa kilaza uraiani; nakushauri utumie strategy zilezile za shuleni vile ulivyokuwa unafanya. Geuza tu kidogo, kule ilikuwa ni kusoma, huku ni kupiga kazi. Zidisha masaa ya kazi. Tukutane kwenye familia ya 1% ya watu wanaotambulika mshkaji wangu. New Years Resolution. #kweligraphy
    Ascoltato 4 min. 2 sec.
  • Break Up!? LISTEN! Episode 2 - Kweligraphy

    19 GEN 2019 · So many people today just throw around the word love, it's such a shame because they don't realize how much it affects people. Just because someone told you that they loved and didn't mean it, doesn't mean that you shouldn't believe in love. See, love didn't hurt you. Someone who doesn't know how to love hurt you. Don't confuse the two. Just because they didn't mean it, doesn't mean that there isn't someone out there who will want to love you. Who will want to say it and mean it and believe it. Don't write off love just because someone didn't know how to love you properly. And I know it's hard right now and it may not make sense but there is someone out there who will say it and mean it. ( Jay Shetty ) Voice: said kweli Subscribe and share
    Ascoltato 2 min. 30 sec.
  • Kweligraphy 01. SIKILIZA KILA UNAPOAMKA.

    19 GEN 2019 · Subscribe kwa video zaidi kama hii
    Ascoltato 5 min.

My name is Saidi Kweli, welcome to my podcast.... It's another episode in my podcast series, and in this episode I'm going to talk about the current situation in our...

mostra di più
My name is Saidi Kweli, welcome to my podcast....
It's another episode in my podcast series, and in this episode I'm going to talk about the current situation in our country and the world ,and how to master it.
.................................................................
Broadcasting LIVE from Tanzania, and as we are in a new leadership, new government and new system we were not ready for, things are changing very fast than it used to be.
It seems that the current situation in our country is worse than before, as the costs of foods and other goods are going up every week.
My advice to my fellow Tanzanians is become the wolf literally, because there's a saying that "the wolf on the hill is never as hungrier as the wolf climbing the hill" We have to learn to walk alone just like the lone wolf.
It's not easy going it all alone, but if you keep pushing, Stay true to yourself, It will be worth in the end.
mostra meno
Contatti
Informazioni

Sembra che non tu non abbia alcun episodio attivo

Sfoglia il catalogo di Spreaker per scoprire nuovi contenuti

Corrente

Copertina del podcast

Sembra che non ci sia nessun episodio nella tua coda

Sfoglia il catalogo di Spreaker per scoprire nuovi contenuti

Successivo

Copertina dell'episodio Copertina dell'episodio

Che silenzio che c’è...

È tempo di scoprire nuovi episodi!

Scopri
La tua Libreria
Cerca